Yeye autoa, nao watoka mwilini mwake;Naam, ncha ing’aayo yatoka katika nyongo yake;Vitisho viko juu yake.