Nami nitamwona mimi nafsi yangu,Na macho yangu yatamtazama, wala si mwingine.Mtima wangu unazimia ndani yangu!