Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi;Mimi si duni yenu ninyi;Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo?