Ayu. 12:22-25 Swahili Union Version (SUV)

22. Huvumbua mambo ya siri tokea gizani,Na hicho kilicho giza tupu huleta mwangani.

23. Huyaongeza mataifa, na kuyaangamiza;Huyaeneza mataifa mbali, na kuyaacha.

24. Huwaondolea moyo wakuu wa watu wa nchi,Na kuwapoteza nyikani pasipokuwa na njia.

25. Wao hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga,Naye huwafanya kupepesuka kama vile mlevi.

Ayu. 12