Lakini macho ya waovu yataingia kiwi,Nao hawatakuwa na njia ya kukimbilia,Na matumaini yao yatakuwa ni kutoa roho.