Na waangamie vivyo hivyo adui zako wote, Ee BWANA.Bali wao wampendao na wawe kama jua hapo litokapo kwa nguvu zake. Nayo nchi ikastarehe miaka arobaini.