Amu. 5:30-31 Swahili Union Version (SUV)

30. Je! Hawakupata mateka na kuyagawanya,Kijakazi, vijakazi wawili, kwa kila mtu?Kwa Sisera nyara ya mavazi ya rangi mbali mbali,Nyara za mavazi ya rangi mbali mbali ya darizi;Ya rangi mbali mbali ya darizi, pande zote mbili,Juu ya shingo za hao mateka.

31. Na waangamie vivyo hivyo adui zako wote, Ee BWANA.Bali wao wampendao na wawe kama jua hapo litokapo kwa nguvu zake. Nayo nchi ikastarehe miaka arobaini.

Amu. 5