Wafalme walikuja wakafanya vita,Ndipo wafalme wa Kanaani walifanya vita.Katika Taanaki, karibu na maji ya Megido;Hawakupata faida yo yote ya fedha.