Amu. 20:16 Swahili Union Version (SUV)

Katika watu hao wote walikuwako watu waume mia saba waliochaguliwa, wenye shoto; kila mmoja alikuwa anaweza kuutupia unywele mawe kwa teo, wala asikose.

Amu. 20

Amu. 20:6-17