Amu. 11:25 Swahili Union Version (SUV)

Na wewe sasa, je! U mwema kuliko Balaki mwana wa Sipori, huyo mfalme wa Moabu, kwa lo lote? Je! Yeye alishindana na Israeli, au kupigana nao?

Amu. 11

Amu. 11:22-31