Amo. 7:9 Swahili Union Version (SUV)

na mahali palipoinuka pa Isaka patakuwa ukiwa, na mahali patakatifu pa Israeli pataharibika; nami nitaondoka nishindane na nyumba ya Yeroboamu kwa upanga.

Amo. 7

Amo. 7:5-17