Amo. 7:8 Swahili Union Version (SUV)

BWANA akaniambia, Amosi, unaona nini? Nikasema, Naona timazi. Ndipo Bwana akasema, Tazama, nitaweka timazi kati ya watu wangu Israeli; sitawapita tena kamwe;

Amo. 7

Amo. 7:5-11