Mikono yako haikufungwa,Wala miguu yako haikutiwa pingu;Aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka.Na watu wote wakaongeza kumlilia.