Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA?Kwa kuwa amefanya nami agano la milele;Ina taratibu katika yote, ni thabiti,Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.