Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua lichapo,Asubuhi isiyo na mawingu.Lachipuza majani mabichi juu ya nchi,Kwa mwangaza baada ya mvua;