Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda.Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.