Tena ikavuka mashua ili kuwavusha jamaa ya mfalme, na kufanya aliyoyaona kuwa mema.Ndipo Shimei, mwana wa Gera, akamwangukia mfalme alipokuwa amevuka Yordani.