Hata maombolezo hayo yalipokwisha, Daudi akatuma mtu, akamtwaa, akamtia nyumbani mwake; naye akawa mkewe, akamzalia mwana.Lakini jambo lile alilolitenda Daudi likamchukiza BWANA.