2 Sam. 10:12 Swahili Union Version (SUV)

Uwe hodari, tukajitie moyo mkuu, kwa ajili ya watu wetu, na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu; naye BWANA afanye yaliyo mema machoni pake.

2 Sam. 10

2 Sam. 10:9-18