2 Sam. 1:26 Swahili Union Version (SUV)

Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu,Ulikuwa ukinipendeza sana;Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu,Kupita upendo wa wanawake.

2 Sam. 1

2 Sam. 1:25-27