2 Nya. 35:26 Swahili Union Version (SUV)

Basi mambo yote ya Yosia yaliyosalia, na matendo yake mema, sawasawa na yote yaliyoandikwa katika torati ya BWANA,

2 Nya. 35

2 Nya. 35:25-27