2 Nya. 23:7 Swahili Union Version (SUV)

Nao Walawi watamzunguka mfalme pande zote, kila mtu mwenye silaha zake mkononi; naye awaye yote aingiaye nyumbani na auawe; nanyi mfuatane na mfalme, aingiapo na atokapo.

2 Nya. 23

2 Nya. 23:5-17