2 Nya. 21:2 Swahili Union Version (SUV)

Naye alikuwa na ndugu, wana wa Yehoshafati, Azaria, na Yehieli, na Zekaria, na Azaria, na Mikaeli, na Shefatia; hao wote walikuwa wana wa Yehoshafati mfalme wa Israeli.

2 Nya. 21

2 Nya. 21:1-10