2 Nya. 1:2 Swahili Union Version (SUV)

Sulemani akasema na Israeli wote, na maakida wa maelfu, na wa mamia, na waamuzi, na kila shehe wa Israeli wote, wakuu wa nyumba za mababa.

2 Nya. 1

2 Nya. 1:1-7