(Kwa maana asema,Wakati uliokubalika nalikusikia,Siku ya wokovu nalikusaidia;tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.)