2 Fal. 8:19 Swahili Union Version (SUV)

Walakini BWANA hakupenda kuiharibu Yuda, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, kama alivyomwahidia akasema, kuwa atampa taa, yeye na wazao wake siku zote.

2 Fal. 8

2 Fal. 8:14-20