2 Fal. 22:9 Swahili Union Version (SUV)

Shafani mwandishi akamwendea mfalme, akamletea mfalme habari tena, akasema, Watumishi wako wamezitoa zile fedha zilizoonekana ndani ya nyumba, nao wamewakabidhi wafanya kazi wanaoisimamia nyumba ya BWANA.

2 Fal. 22

2 Fal. 22:1-17