2 Fal. 20:20-21 Swahili Union Version (SUV)

20. Basi mambo yote ya Hezekia yaliyosalia, na ushujaa wake wote, tena alivyolifanya birika na mfereji, akaleta maji ndani ya mji, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda?

21. Hezekia akalala na baba zake; na Manase mwanawe akatawala mahali pake.

2 Fal. 20