2 Fal. 20:14 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo Isaya nabii akamwendea mfalme Hezekia, akamwambia, Wasemaje watu hawa? Nao wametoka wapi kuja kwako? Hezekia akasema, Wametoka katika nchi iliyo mbali, yaani Babeli.

2 Fal. 20

2 Fal. 20:5-18