2 Fal. 19:4 Swahili Union Version (SUV)

Yamkini BWANA, Mungu wako, atayasikia maneno yote ya amiri huyu, ambaye mfalme wa Ashuru, bwana wake, amemtuma ili amtukane Mungu aliye hai; naye atayakemea hayo maneno aliyoyasikia BWANA, Mungu wako; kwa sababu hii inua dua yako kwa ajili ya mabaki yaliyobakia.

2 Fal. 19

2 Fal. 19:3-13