2 Fal. 19:2 Swahili Union Version (SUV)

Akamtuma Eliakimu aliyekuwa msimamizi wa nyumba yake na Shebna, mwandishi, na wazee wa makuhani, wamevikwa nguo za magunia, waende kwa Isaya nabii, mwana wa Amozi.

2 Fal. 19

2 Fal. 19:1-5