2 Fal. 13:2 Swahili Union Version (SUV)

Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, akayafuata makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli; wala hakuyaacha.

2 Fal. 13

2 Fal. 13:1-10