1 Tim. 4:8 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana kujizoeza kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, lakini utauwa hufaa kwa mambo yote; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye.

1 Tim. 4

1 Tim. 4:7-13