Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake;Bali waovu watanyamazishwa gizani,Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda;