1 Sam. 2:10 Swahili Union Version (SUV)

Washindanao na BWANA watapondwa kabisa;Toka mbinguni yeye atawapigia radi;BWANA ataihukumu miisho ya dunia;Naye atampa mfalme wake nguvu,Na kuitukuza pembe ya masihi wake.

1 Sam. 2

1 Sam. 2:1-16