Nao wale wanawake wakaitikiana wakicheza, wakasema,Sauli amewaua elfu zake,Na Daudi makumi elfu yake.