1 Sam. 14:49 Swahili Union Version (SUV)

Basi, wana wa Sauli walikuwa ni hawa, Yonathani, na Ishvi, na Malkishua; na majina ya binti zake wawili yalikuwa haya; jina lake wa kwanza aliitwa Merabu, na jina lake mdogo aliitwa Mikali;

1 Sam. 14

1 Sam. 14:46-52