1 Sam. 12:2 Swahili Union Version (SUV)

Basi sasa, angalieni, mfalme anakwenda mbele yenu; na mimi ni mzee, mwenye mvi; tena, tazameni, wana wangu wapo pamoja nanyi; nami nimekwenda mbele yenu toka ujana wangu hata leo.

1 Sam. 12

1 Sam. 12:1-4