1 Pet. 3:21 Swahili Union Version (SUV)

Mfano wa mambo hayo ni ubatizo, unaowaokoa ninyi pia siku hizi; (siyo kuwekea mbali uchafu wa mwili, bali jibu la dhamiri safi mbele za Mungu), kwa kufufuka kwake Yesu Kristo.

1 Pet. 3

1 Pet. 3:12-22