1 Pet. 3:20 Swahili Union Version (SUV)

watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ambamo ndani yake wachache, yaani, watu wanane, waliokoka kwa maji.

1 Pet. 3

1 Pet. 3:12-21