1 Nya. 29:12 Swahili Union Version (SUV)

Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.

1 Nya. 29

1 Nya. 29:3-21