1 Nya. 29:11 Swahili Union Version (SUV)

Ee BWANA, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani ni vyako; ufalme ni wako, Ee BWANA, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.

1 Nya. 29

1 Nya. 29:3-16