1 Nya. 20:5 Swahili Union Version (SUV)

Kulikuwa na vita tena na Wafilisti; na Elhanani, mwana wa Yairi akamwua Lahmi nduguye Goliathi, Mgiti, ambaye mti wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa mfumaji.

1 Nya. 20

1 Nya. 20:1-8