1 Nya. 16:4 Swahili Union Version (SUV)

Akawaagiza baadhi ya Walawi kwamba watumike mbele ya sanduku la BWANA, wamfanyie ukumbusho, na shukrani, na sifa, BWANA, Mungu wa Israeli;

1 Nya. 16

1 Nya. 16:1-10