1 Nya. 15:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia na ishirini;

6. wa wana wa Merari; Asaya mkuu wao, na nduguze mia mbili na ishirini;

7. wa wana wa Gershoni; Yoeli mkuu wao, na nduguze mia na thelathini;

1 Nya. 15