1 Nya. 15:4-6 Swahili Union Version (SUV)

4. Daudi akawakutanisha wana wa Haruni, na Walawi;

5. wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia na ishirini;

6. wa wana wa Merari; Asaya mkuu wao, na nduguze mia mbili na ishirini;

1 Nya. 15