1 Nya. 12:33 Swahili Union Version (SUV)

Wa Zabuloni, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, wenye zana za vita za kila namna, hamsini elfu; askari wastadi wasiokuwa wenye moyo wa kusita-sita.

1 Nya. 12

1 Nya. 12:31-37