1 Nya. 12:32 Swahili Union Version (SUV)

Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.

1 Nya. 12

1 Nya. 12:26-40