1 Fal. 9:7 Swahili Union Version (SUV)

basi nitawakatilia Israeli mbali na nchi hii niliyowapa; na nyumba hii niliyoitakasa kwa jina langu, nitaitupilia mbali na macho yangu, na Israeli watakuwa mithali na neno la tusi katika mataifa yote.

1 Fal. 9

1 Fal. 9:3-16