1 Fal. 8:39 Swahili Union Version (SUV)

basi, usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukatende, ukampe kila mtu kwa kadiri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu wote);

1 Fal. 8

1 Fal. 8:30-40